Saturday, December 21, 2013

Na Mwandishi Wetu

MWANAMUZIKI Winfrida Josephat ‘Rachel’ juzikati aliwashangaza watu baada ya kudai kwamba siku
hiyo baada ya shoo yao akiwa na Kundi la Kigoma All Stars mjini Nairobi alikuwa akitafuta bwana wa kumpa kampani usiku bila mafanikio.

No comments:

Post a Comment