Hapa kuna picha 2 za Rais Kikwete alipokutana na Rais Obama juzi South Africa.
Hapa ilikua ni uwanjani wakati viongozi mbalimbali walikusanyika
kwenye tukio la kumuaga Mzee Nelson Mandela, hizi picha za chini ndani
ya Uwanja wanapoingilia na kutoka viongozi waliohudhuria hii shughuli
ndio zinamuonyesha President JK akiwa na Obama.
STORY BY PRINCE ALPHA.
No comments:
Post a Comment