Monday, December 16, 2013

KAMPUNI inayokuja kwa kasi katika tasnia ya Filamu hapa nchini ''ZEST FILM PRODUCTION'' Imefanikiwa kuwatengeneza baadhi
ya wasanii wa Tanzania kuwa wa kimataifa kama walivyofanya kwa msanii ''Hemedi Suleimani'' kwa kumshirikisha kwenye
filamu inayokwenda kwa jina la ''VAGABOND'' ambayo imeingia kwenyetuzo za AFRICA,

Hio ni kwa mujibu wa mkurugenzi wa kampuni hio Bwana Mussa Muzziba alivyohojiwa na website hii ya masainyotambofu.com

No comments:

Post a Comment