Picha 4 za mkutano wa Dr.Slaa IgungaKatibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)Dk.
Willbroad Slaa jana December 22 alikua akihitimisha ziara yake ya
kukagua uhai wa chama Igunga Mjini mkoani Tabora,mkutano huu uliofanyika
katika uwanja wa Barafu.
No comments:
Post a Comment