Mara nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye harusi tofautitofauti lakini Range hii ambayo
ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko Range zote ambazo zipo
Afrika Mashariki ambapo unaweza kutazama picha zake za ndani na nje
hapa.PICHA ZOTE NA PRINCE ALPHA aka THE PRINCE aka IGP SAID PLAY BOY MWEMA.
No comments:
Post a Comment