Arsenal yafia mikononi mwa Manchester City.
Ligi
kuu ya England imeendelea hii leo kwa kushuhudia ratiba ya ligi hiyo
ikiwa na mechi saba zinazokutanisha timu kumi nane kwenye viwanja
tofauti.
Jijini Manchester mchezo wa kwanza uliowakutanisha vinara wa ligi hiyo Arsenal Manchester City uliisha kwa ushindi kwa Manchester City ambao waliwafunga washika bunduki wa jiji la London kwa mabao sita kwa matatu . 
Matokeo haya yanamaanisha kuwa Manchester City wameikaribia Arsenal
ambapo tofauti ya pointi baina ya timu hizo ni pointi tatu pekee ambapo
Arsenal wanaongoza wakiwa na pointi 35 huku City wakiwafuatia kwa pointi
32.


No comments:
Post a Comment