


Katika
mashindano haya ambayo yalikua na jumla ya washiriki watano ambao ni
Amina Chibaba,Elizabeth Mwakijambile,Emmanuel Msuya,Maina Thadei na
Melisa John,ambao walipita kwa round tatu kisha majaji kuwapunguza
watatu na kisha kubakia Emanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile katika
Round ya 4 na ya mwisho.
Katika
round ya mwisho,Emmanuel Msuya ameibuka kidedea na kuwa Mshindi wa Epiq
Bongo Star Search 2013,akiwa ni mshiriki anaetokea Jijini Mwanza na
kumpokea taji water chilambo ambae alikua mshindi wa mwaka jana.MA2KIO YOTE YAKIRATIBIWA NA PRINCE ALPHA.

No comments:
Post a Comment