Tuesday, December 17, 2013


Hili ndio gari jingine jipya la Jaguar wa Kenya mazee.1


Mwanamuziki maarufu toka 254 Jaguar alionekana akiendesha Gari lake jipya  aina ya Jaguar kama lilivo jina lake wikiendi iliyopita kwenye concert lililoandaliwa na kampuni moja ya simu kwenye uwanja wa Kasakani.
jaguar kenya
Mwimbaji huyo anaefahamika sana kwa magari ya bei mbaya anayoendesha aliwashangaza maelfu ya watu waliokazana kwenye tamasha hilo walati alipoitwa jukwaani ambapo alishuka toka kwenye gari hilo na kupanda jukwaani mara moja.
Jaguar huyuhuyu mapema mwaka huu 2013 aliripotiwa kununua ndege binafsi.

No comments:

Post a Comment