Hiki ndicho alichokijibu Zitto Kabwe baada ya tamko la Dr.Slaa 
Zitto Kabwe leo amefanya mkutano wa 3 ndani ya Mkoa wa Kigoma,mikutano hii ilianza siku ya Jumamosi kwa sehemu ya Mwandiga mahali alipozaliwa na kukulia,Kasulu ilikua jana na leo kafanya Kigoma mjini eneo la Mwanga kwenye uwanja wa Community Centre.

No comments:
Post a Comment