Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini kimewasikitisha watu wengi
sana wakiwemo watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki Minaj mwenye
wafuasi milioni tatu na nusu kwenye instagram amevunja rekodi ya kuwa
staa pekee wa dunia ambae nimemuona ameandika yake ya moyoni na
kuongezea kwa lugha ya Kiswahili STORY BY PRINCE ALPHA.
No comments:
Post a Comment