Nimeipata hotuba ya leo ya Rais Kikwete kwenye msiba wa Mandela, iko hapa
Naona Watanzania mbalimbali wameisifia hotuba iliyotolewa na Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye siku hii ya
maziko ya Mzee Nelson Mandela Jumapili December 15 2013, kama umeimis
unaweza kuitazama hapa chini.
No comments:
Post a Comment