Sunday, December 29, 2013

SIRI mbalimbali zimeanza kufichuka kuhusiana na ‘madudu’ yaliyokuwa yakifanyika, katika utekelezaji
wa Operesheni Tokomeza, iliyowang’oa madarakani mawaziri wanne. 

Siri hizo zimeanza kuvuja baada ya kubainika kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliandikiwa barua mara mbili na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi juu ya ‘madudu’ hayo, lakini hakuweza kuchukua hatua.

Habari za uhakika ambazo MTANZANIA Jumamosi limezipata zilisema kutokana na Pinda kushindwa kuchukua hatua, kulisababisha Dk. Nchimbi kugoma kujiuzulu pale alipotakiwa kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment