Golikipa
wa timu ya Yanga, Juma Kaseja amefunguka kuhusu uamuzi wa kutompa mkono
golikipa wa timu ya Simba Ivo Mapunda, kwenye mechi ya hisani ya Nani
Mtani Jembe.
Ivo amedai kuwa hana bifu lolote na goli kipa huyo ingawa ni kweli hakumpa mkono, na kwamba yale yalikuwa ni maamuzi tu.
"Unajua
kaka watu wanaongea sana lakini mimi sina bifu lolote na Ivo,hivyo ni
vitu vya kawaida tu na maamuzi ya mtu." Kaseja ameiambia blog ya
Supermariotz.
Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Yanga, matokeo yaliyopelekea Yanga kumtimua kocha Mholanzi Ernie Brandts.
No comments:
Post a Comment