Ilikuwa
ni siku ya furaha sana usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe ya kuzaliwa
Miss Klynn aka MAMA MAPACHA pande fulani hivi jijini Dar es Salaam.
Party
hii ilikuwa ni yaaina yake kwani ilikuwa ni kwa watu walioalikwa tu,
kama unavyoona picha jinsi walivyokuwa safi na namuona Boss Mengi akiwa
mwenye nyuso ya furaha baada
yakutizama show kali ya Diamond
No comments:
Post a Comment