
Anaitwa Happy Job miaka 12
ni mwanafunzi wa shule ya msingi Mapinduzi Darasa la sita Amepotea tangu ijumaa aliondoka kwenda shule ila
hakurudi mpaka sasa yeyote atakae muona atoe taarifa kwa namba hizi
0757 29 40 16 au 0766 86 59 64, 0764849514 ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA YEYOTE ATAKAYE MUONA.
No comments:
Post a Comment