Adhabu
ya kutembeza watu uchi huko Nigeria imekuwa ndio adhabu ya kawaida kwa
watu kama hawa, baadhi ya watu wakifumaniwa huvuliwa nguo zote na
kutembezwa uchi mtaani kama fundisho kwa wengine.
wazee
hawa wawli walinaswa wakivunja amri ya sita kichakani na kukamatwa
kisha kuvuliwa nguo zote na kutembezwa kijiji hapo mchana.
No comments:
Post a Comment