Friday, December 13, 2013


Suprise ya Beyonce kwa fans wake!beyonce 1Mashabiki wa Beyonce wameamshwa na suprise ya album yake mpya aliyoitoa kupitia iTunes ambapo ina nyimbo 14, 17 videos #Beyonce ft Drake, JT, Timbaland, Kelly na wengine!

No comments:

Post a Comment